• Home
  • Plot
  • NGARAMTONI – KARIBU NA SHAMBA LODGE

NGARAMTONI – KARIBU NA SHAMBA LODGE

No Review
NAGARAMTONI,ARUSHA
Tsh27,000,000.00
Size 300 m2

Overview

Property ID: NGARAMTONI 1

Description

Eneo linapatikana Ngaramtoni,mojawapo ya sehemu zenye hali ya hewa nzuri pamoja na udongo mzuri  unaoweza kujenga bila kutumia gharama kubwa.Pako na view nzuri ya milima ya asili ya mfumo wa contua.Uzuri mwingine wa hili eneo.

Eneo limeshaendelezwa liko na msingi wa ghorofa wenye makadilio ya thamani ya Mil 30.

UKUBWA: Mita za Mraba 300 Yaani (20M x 15M).

UMBALI: Eneo lipo Km 1.2 kutoka barabara ya ARUSHA-NAMANGA,na ni Karibu sana LODGE MAALUFU inayoitwa SHAMBA LODGE.

HUDUMA ZA KIJAMII: Huduma za umeme ziko karibu na eneo pamoja na Maji ya bomba ya IDARA YA MAJI YA ARUSHA(AUWASA) yapo karibu na eneo.

BEI : 27,000,000/-Tsh – INAZUNGUMZIKA

Contacts

  • Price
    Tsh27,000,000.00
  • Property ID
    Property ID: NGARAMTONI 1
  • Area Size
    Size 300 m2
  • Land Area Size
  • +255 674 668 331
  • Payment(Instalment)
    Payment(Instalment) 0
  • Mobile: +255 674 668 331
  • SALE
    SALE

Location / Contacts

  • City/Town/Village Maji ya Chai
  • Region Arusha
  • Contacts (Phone) +255 674 668 331
  • Postal code NILL

Reviews

Similar Properties