NGARAMTONI – KARIBU NA SHAMBA LODGE
NAGARAMTONI,ARUSHA
Tsh27,000,000.00
Size
300 m2
Overview
Property ID:
NGARAMTONI 1
-
Payment(Instalment)Payment(Instalment) 0
-
Distance from Road (kms)Distance from Road (kms) 1
-
Area SizeSize 300 m2
Description
Eneo linapatikana Ngaramtoni,mojawapo ya sehemu zenye hali ya hewa nzuri pamoja na udongo mzuri unaoweza kujenga bila kutumia gharama kubwa.Pako na view nzuri ya milima ya asili ya mfumo wa contua.Uzuri mwingine wa hili eneo.
Eneo limeshaendelezwa liko na msingi wa ghorofa wenye makadilio ya thamani ya Mil 30.
UKUBWA: Mita za Mraba 300 Yaani (20M x 15M).
UMBALI: Eneo lipo Km 1.2 kutoka barabara ya ARUSHA-NAMANGA,na ni Karibu sana LODGE MAALUFU inayoitwa SHAMBA LODGE.
HUDUMA ZA KIJAMII: Huduma za umeme ziko karibu na eneo pamoja na Maji ya bomba ya IDARA YA MAJI YA ARUSHA(AUWASA) yapo karibu na eneo.
BEI : 27,000,000/-Tsh – INAZUNGUMZIKA
Contacts
-
PriceTsh27,000,000.00
-
Property IDProperty ID: NGARAMTONI 1
-
Area SizeSize 300 m2
-
Land Area Size
-
+255 674 668 331
-
Payment(Instalment)Payment(Instalment) 0
-
Mobile: +255 674 668 331
-
SALESALE
Location / Contacts
- City/Town/Village Maji ya Chai
- Region Arusha
- Contacts (Phone) +255 674 668 331
- Postal code NILL
Reviews
You need to login in order to post a review. Please click here to login.